Maisha Na Huduma Ya Yesu
Maisha Na Huduma Ya Yesu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 2: Kuomba kama Yesu

23 min read

by Randall McElwain


Malengo ya Somo

Kufikia mwisho wa somo hili, kila mwanafunzi atapaswa:

(1) Atambue umuhimu wa maombi katika maisha na huduma ya Yesu.

(2) Aelewe kanuni za maombi kutoka katika mafundisho ya Yesu.

(3) Aelewe umuhimu wa maombi katika huduma yetu kwa wakati huu.

(4) Kukuza kwa vitendo hatua zote za kuwa mtu wa maombi.