Utangulizi wa ibada ya Kikristo
Utangulizi wa ibada ya Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 7: Maandiko na Maombi katika Ibada

35 min read

by Randall McElwain


Malengo Ya Somo

Mwisho wa somo hili, mwanafunzi anapaswa:

(1) Kuthamini umuhimu wa maandiko katika ibada.

(2) Kujua hatua za vitendo za kutumia maandiko katika ibada.

(3) Kutambua mahubiri kama sehemu ya ibada.

(4) Kuthamini umuhimu wa maombi katika ibada.

(5) Kuongoza kanisa katika maombi ya pamoja yenye maana.

(6) Kuelewa kwamba ukusanyaji wa sadaka ni kitendo cha ibada.

(7) Kutazama meza ya Bwana kama sherehe ya kufurahia na ukumbusho mzuri.